Sunday, October 11, 2009

UTUNGO WA MIMBA KWA MWANAUME

Mume na mke wanaposogeleana mbegu za uzazi kutoka kwa mume kama 250,000,000 hadi500,000,000 huachwa mlangoni pa tumbo la uzazi katika uke,mbegu zinaishi kwa muda upatao saa kama 48 na hata mtu akiwa na maumbile madogo naye pia kunauwezekano mkubwa wa kuweza kutoa mbegu iwapo itakuwa shahawa zake hazijasuguana sana katika kiwango cha kutojichezea ndipo shahawa zake zitakuwa katika mpagilio au kutokuwa na matatizo yoyote yale ambayo yanasababisha kupunguza kasi ya vimiminika vilivyowekwa katika kiwango kizuri maumbilie yake na kusababisha ile mishipa ambayo inaunganisha kiwanda cha shahawa kuwa madhubuti.

Baada ya kuachwa hapo mbegu hujiongeza kwa msaada wa mikia yao ,kusafiri kupitia tumbo la uzazi kisha kuingia katika mifereji ilekeayo katika kiwanda cha uzazi wa mwanamke

No comments:

Post a Comment