Sunday, October 11, 2009

PICHA YA VIUNGO VYA UZAZI VYA MWANAUME

Ndani ya mwili tunakuta:
Mifuko miwili kila upande chini ya kibofu (seminal ressels)tezi iitwayo kiwanda cha sahawa(prostate) kiwanda hiki cha shahawa iwapo kutakuwa na mapungufu furani katika mwili wako kwanza utaanza kuona dalili zifuatazo kwanza kabisa utaanza kuona uume wako wakati unafanya tendo la ndoa, wakati unamundaa mwanamke uume wako unakuwa haupo katika hali ipasayo na hata mwamke akijaribu kukusaidia kukukaribishia mawazo ya kuwa tayari katika tendo la ndoa inakuwa ni kwambali sana lakini hapo baadae ikishituka inakuwa na kasi nzuri japo sio sana hii moja kwa moja ni tatizo ambalo linakuwa na upungufu wa shahawa(prostate)na katika upungufu kama huu inatokana sana na matatizo ya kisukari,au kufanya mchezo uitwao Punyeto na katika tatizo kama hili mara nyingi sana humsababishia matatizo ambayo hata kutokuwa na nguvu zilizo jitoshereza katika kiwango kilichokuwepo awali na suala kama hili ni kuwa makini sana kulifutilia pindi unapoona mabadiliko ambayo ukuwa nayo zamani ,ukiwa upo makini kwa kufuatilia suala kama hili litapotea na kurudia khali ya zamani kama awali.

No comments:

Post a Comment