Sunday, October 11, 2009

MATIBABU YA MARALIA SUGU

Maralia sugu ni ugonjwa ambao unahathiri watu wengi sana kutokana na ugonjwa huu wa maralia unatokana na uzembe mdogo sana unaotokea na kutokunywa maji mengi katika kipindi cha hasubuhi na mchana na jioni katika vipindi vyote hivyo unapaswa kufuata utaratibu wa kunywa maji lita 1 moja katika mpagilio wa asubuhi lita1 mchana lita 1 jioni lita1 na katika masaa haya mengine tofauti na mlo unaweza kunywa maji maji hakuna shaka.

Na wakati utumiapo dawa upaswi kukutana kijinsia katika kipindi cha wiki 2 ili dawa iweze kufanya kazi ipasavyo ili kuepusha misuguano ya aina yake ili kuweka uwiano wa kukuza afya na dawa hizi tumiapo hautakuwa na Maralia kwa kipindi cha miaka 6 ndipo utapatwa na maralia kama kawaida ya mwanadamu mwingine aliye zaliwa na afya yenye kinga iliyojitoshereza .

Hizi dawa za maralia zinanguvu sana ili kukupa nguvu na kukujengea kinga iliyo madhubuti na kukuepusha na maambukizi mapya ya maralia,dawa hizi unapaswa kutumia kwa umakini sana pasipo kukosea mambo ambayo ni yakawaida na upaswi kuwa mvivu kunywa maji kwa wingi kama jinsi maelekezo yasemayo hapo juu

Dawa hizi ni za maji maji
GARAMA YA DAWA ZA MARALIA
SHS 60,000 kwa chupa 1 na unapaswa kutumia chupa 3.


No comments:

Post a Comment