Sunday, October 11, 2009

VIUNGO VYA UZAZI VYA MWANAMKE

Tatizo kubwa linalo wakabili wanawake wengi ili kutokuwa na mpangilio mzuri wa siku zake za henzi na kutoona katika mpangilio unaotakiwa mara nyingi sana PAVILLION yake inakuwa sio katika kiwango kizuri na kinakuwa kimelegea katika upande wa viongo vinavyoshikilia kiwanda cha mayai (ovary)vipo katikati ya cycle ya kubadilisha siku ,sasa iwapo kinakuwa kimelegea na hakija shika vizuri uwezi kupata siku zako katika mrorongo mzuri na lazima utakuwa unapitiliza pitiliza na unaweza usione karibia hata miezi 3 na ,katika hilo unakuwa na matatizo ya tumbo kwa kipindi kisichoeleweka eleweka kama jinsi ilivyo mpagilio wakutoona siku zako na hata tumbo lako linakuwa linauma sana .

Mtu kama huyu mara nyingi sana hata wakati wa tendo la ndoa anakuwa hajisikii kabisa kutokana na hali azipatazo za kubadilika badilika siku zake, na tatizo kama hili lazima kwanza uwekewe mpangilio wa siku zako na kukuwekea cycle ikae vizuri. Baada ya kutumia dawa tatizo hili linakwisha kabisa kwa kipindi cha mwezi 1 baada ya hapo sasa anaweza kukutana na mpezi wake au mme,katika kipindi cha mwezi 1 anashauliwa kutokutana na mpezi wake mpaka amalize dose yake .

No comments:

Post a Comment