Sunday, October 11, 2009

MWANAMKE ASIYEZAA KWA MUDA MREFU:

Kwanza kabisa tukumbuke kwamba mambo yote yahusuyo miili ya na yakike yamewekwa na Mungu,nayo ni kipaji toka kwake.
Watu wengi hufikili kuwa mambo yahusuyo miili ya kike na yakiume na hasa via vya uzazi ni kitukichafu ambocho kisinge faa kuzungumziwa.
Kwa kweli si Mungu aliyezifanya kuwa chafu ,bali ni sisi wenyewe kwa mazungumzo na mawazo yetu yanayozifanya view vichafu na kudhauliwa.

Mwanake ambovyo anapaswa kuwa katika via vya uzazi wake

Yaonekanayo nje ya mwili ni machache tu.mlango wa uke(kuma)vagina.mengine yote yamo ndani ya mwili nayo ni hayo:

Juu kabisa na katikati ya midomo ,hiukaa kinembe ,kiungo kifupi chenye damu nyingi,hiki kazi yake kubwa kureta furaha wakati wa tendo la ndoa

No comments:

Post a Comment