Sunday, October 11, 2009

VIA VYA UZAZI VYA MWANAUME :



Via vya uzazi vya mwanaume karibu vyote vimekuwa (nje ya mwili wake) hapo zaidi yaonekanayo ni :
Uume au mboo(pennies)mwili wa uume ni kama sifango.Mara mwanaume akipatwa na tamaa :angalia sehemu ya maumbile ya mwanaume hubadilika katika kiwango kikubwa na maumbile yake huwa yanajaa katika kiwango cha kawaida na kama atakuwa amevaa suruali na amechomekea utaona pamevimba sehemu husika,na hii khali humtokea mara nyingi sana mtu mwenye nguvu zilizo kamilika katika kiwango kilichokamilika kwa huyu mwenye nguvu zilizo kamilika mara nyingi sana kama amepangana na mwanamke katika siti za gari wakigusana tu anaingia matamanio yatamaa na kuvimbisha sehemu ya maumbile na kama safari ndefu sana wakiwa pamoja kuna uwezekano wa mwanaume huyu aliye na nguvu zake za kiume anaweza hata kujipizia .

Akijipizia akiwa katika khali ya matamanio dosali kubwa kwa maana kunauwezekano mkubwa wa maumbile yake kutokuwa na stamiri za kushinda tamaa kwa hivyo ndani ya uume vikishilikiana na mapumbu huwa kunakuwa na maumivu makali sana ambavyo nikutokana na kasi ya matamanio vilivyo ingiliana na uume au mapumbu ,katika hali kama hiyo kunakuwa na misuguano ya mishipa kutoka katika kiwanda cha shahawa kwa hali kama hiyo mtu anashauliwa kutumia ndimu ili kupunguza kasi ya msuguano wa mishipa na kuzikausha zile shahawa kwa sababu zinakuwa zimetoka katika kiwango kisicho cha kukutana na mwanamke,hizi hali kama hizi hutokea usiku.


Mara nyingi hali kama hii inapotokea ukiwa katika safari zako ukielekea mahala pengine katika siti ukapangana na binti au Mama ndani ya dikaka 10 mkigusana gusana katika hali ya mtikisiko wa gari kuingia katika bonde au kurukushani za njiani katika hali hiyo ukaona unaaza kubadilika na kuingia matamanio ya kimwili na sehemu za maumbile kuona zinakuwa katka hali ya kusimamisha ,hapo moja kwa moja ni nzuri sana iwapo haujajipizia mpaka mwisho wa safari yako hapo nikitu cha kawaida,

Lakini iwapo ukaona umejipizia katika mwelekeo huo huo basi ujue hilo ni tatizo la kimajini ambalo linakutawala katika maumbile yako hata unapokuwa katika hali ya kuwa na mwanamke uume hawezi kusimama ,na mara pengine uumpendae anaweza kujitahidi sana kukuchezea hadi usimamishe maumbile yako lakini kwa muda sana kama dakika 5 utakuwa umesimamisha ukitaka tu muanze kazi inanywea tena hii hali moja kwa moja ni jini linakuwa limetawala mwili wako pasipo wewe kutambua kwa hivyo pasipo wewe kuwa makini suala hili laweza kukusumbua sana mpaka ukutane na mtaalamu wakuweza kuchekecha haya yote kwa wakati tofauti.


1 comment: