Sunday, October 11, 2009

TATIZO HILI LINATOKANA NA UPUNGUFU WA;

Linatokana mara nyingi sana na kujichezea chezea na kutoa shahawa pasipo tendo la ndoa ambalo lilitengenezwa kwa makusudi maalumu lakini unapokuwa unajichezea chezea pasipo tendo liloidhinishwa na Mungu kwa matarisho ya makutano ya tendo la ndoa kutokana na hilo kunamishipa ya uume katika kiwanda cha shahawa iliyo midongodogo ambayo hupata msuguano iliyo chini ya uwezo wake kulingana msukumo uutumiao katika viganja vyako vya mikono yako mishipa hiyo huanzia katika uti wa mgongo na mpaka kwenye mapumbu (makende) ambayo yanakuwa na msukomo wake wa kukuwezesha wewe kuwa na sapoti furani ya kukupa pawa ya kushiliki ipasavyo katika tendo la ndoa ,Mapumbu yanakazi kubwa sana katika kukuwezesha katika kushirikiana na mwanamke katika tendo la ndoa,iwapo utakuwa na mapungufu ya mapumbu yako kutokuwa na gorori ambazo ukaa ndani ya ngozi kwa kweli kutakuwa na uwezekano mdogo sana wa wewe kuweza kushiliki ipasavyo katika tendo la ndoa na mwanamke.

Kutokana na kuwa na mapungufu kama hayo.kwa kawaida mototo wa kiume akilala usiku pumbu zake husinyaa na kuwa raini raini ,baada ya hapo mnamo saa 12 asubuhi pumbu hizi huwa ngumu ngumu na uume wa mwanaume kwa wakati wa saa 12 asubuhi na uume wa mwanaume husimama na kuwa wenye matamanio ya hali ya ajabu katika hayo ndio waweza kujipima ukiona katika hayo huoni dalili zozote nilizo zitaja basi hujue moja kwa moja tatizo la upungufu wa nguvu za kiume utakuwa unalo kutokana na kutokuwa na matamanio ya mara kwa mara kulingana na zamani ulivyo kuwa na katika hali kama hiyo utazidi kuwa na mapungufu siku hadi siku lakini katika mapungufu utakayokuwa nayo kutokuwa na pawa ya kuweza kurudia tendo la ndoa kwa kipindi kile kile kulingana na grupu ya damu yako wapo wengine japokuwa atakuwa na tatizo hilo la upungufu wa nguvu kulingana na grupu lake inawezekana likampelekea katika kuwahi kukonjoa ,na kunamwingine litampelekea katika kujisikia maumivu wakati wa tendo ,na kunamwingine litampelekea kutokuwa na matamanio wakati wakutaka kuanza kukutana kimwili na mke au mpenzi, uume unasinyaa lakini hapo awali walipokuwa wakichezeana mwanaume aliwaka sana tamaa za mwili na uume ulisimama vizuri sana sasa waanze sasa kukutana kimwili katika tendo la ndoa hapo hapo uume unakuwa hauna nguvu na unanywea kabisa haya yote yanatokana na mapungufu ya kimwili kama majini yanatawala mwili wako pasipo kugundua wewe na mara pengine wewe unafikilia ya kuwa pengine kazi au shuguli uzifanyazo ndio zinazosababisha wewe kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa ambapo sio kweli na ukikaa na mawazo kama hayo ndio unazidi kuumia zaidi na mwili wako kutokuwa na mawazo ya mahusiano na mwanamke yoyote lakini kuna kipindi linakuja wazo lakuwa na mwanake lakini ukimuona tu na hamu inakuisha unabaki ukiwaza yakuwa jee uume wangu utasimama kweli ,mawazo kama hayo tayali yakikutawala katika msukumo wa jini na kweli huwezi tena tendo la ndoa.

Mara pengine tena tatizo hili hutokana na vyakula tunavyotumia visivyo na wanga wa kutosha na kutopangilio mlo katika kiwango kinachotakiwa kwa mfano ulipaswa ule chakula au chai saa 4 na chai hiyo usiinywe muda huo na chakula cha mchana ulipaswa ule saa 7 mchana ukaja kula chipsi mayai katika muda wa saa 10 na soda tu,huo mlo unakuwa bado hauendani na kuupa mwili wako nguvu za kutosha kwani kile kiwanda cha shahawa kinakuwa na mapungufu mengi na makubwa sana, kwa hivyo zile shahawa zinakuwa hazijizunguushi katika kiwango kinachotakiwa japo hautajua tatizo kwa kipindi cha hivi karibuni yaweza kukuchukua katika kipindi hata cha miaka 7 au zaidi inaenda inajijenga taratibu katika kuharibu sistimu ya shahawa kwa mfano unaweza ukawa upo secondary mpaka ukaingia chuo na ukamaliza sarama kabisa pasipo kuwa na tatizo hilo la nguvu za kiume likaja likaanza ukiwa kazini nabado hata ujaowa.

Iwapo utarishughulikia ipasavyo kwa umakini ulio mzuri na ukafuatilia kwa ukaribu tatizo hili pindi tu uanzapo kuona dalili kama hizo tatizo kama hilo utalikomesha kwa haraka zaidi pasipo kukusumbua sana na utakuwa umeepusha garama ambazo zingekukuta hapo baadae kumbe unashauliwa kuwa makini sana ,iwapo utakuwa sio mwepesi kuligundua linaweza kukupa shida sana mpaka uje ukutane na mtaalamu wa kukusaidia tatizo lako na kwa ufumbuzi wa kina sana.

No comments:

Post a Comment