Sunday, October 11, 2009

DAWA ZA KINGA ZA MWILI HATA MTU AKIKUTUPIA UBAYA UNAMRUDIA MWENYEWE:

Kinga hizi mara nyingi sana husaidia watu mbali mbali ambao nyota zao huwa mara nyingi huwa za kuandamwa andamwa na watu mbali ambali watu wa karibu au hata ndugu wa karibu nah ii sana husababishwa na kuwa na maendeleo makubwa kimaisha kumzidi hata yule aliye kutangulia kuzaliwa kutokana na wewe kuwa na nuru yenye kuwaka na khali kama hii ikiwa unaona basi wewe unapaswa kujiimarisha kimwili kwa kuwekewa kinga zenye uumara wa kimaisha ili kuwa mtu mwenye kuuongopwa kwa kurushiwa ubaya na umbaya akiurusha unamrudia mwenyewe aliyeutuma na unapomrudia mwenye mara nyingi hurudi kwa kishindo kikubwa ambacho ni chakichawi kulinganisha na jinsi yeye alivyokituma alikutuma kwa nia mbaya ya kushusha nyota yako ili uweze kuarikiwa mambo yako nah ii inaporudi kwa huyo aliyekutuma kuna mawali yeye ndio kuarikiwa mambo yake na kuutegua huyo mtengo tena kwake itakuwa ni ngumu sana kulingana na kinga uliowekewa wewe niyamanuo yahatari yenye
uzito mkubwa ambayo yamechanganywa na roho ya simba na pesa ya RUPIA ambayo ni nyekundu pesa ya kijerumani yenye simba wawili wanagomania mtede hapo kwa kweli ni zindiko kubwa sana hata ukiwa kwenye mikutano mikubwa mikubwa kile kiti ukikariacho mtu awezi kukikaria na hata kama umesahau pesa ndani mtu awezi kuiba na hata gari uwe umerisahau sehemu hawezi kuriimba ,na hata ukiwa unatafutwa na adui mbaya amekuja kwa nia mbaya lile zindiko linauwezo wakukutyarifu uondoke hapo ulipo kwa haraka sana kutokana na kukuepusha hapo ulipo,na zindiko hili hata kama mkeo unakuwekea dawa katika chakula utakapo anza tu kukila kile chakula kinamwagika kabla chakula ujakiwqeka katika mdomo basi hapo kinakupa ishara kubwa sana ,na hihi kinga ukisha chanjwa au kuwekewa katika mji wako basi wewe waweza hata kulala mlango wazi yoyote yule awazae kukuibia katika mji wako kila akipaga kuja kuiba unaairisha au akija nyumba haioni kabisa kwa hivyo hii ni kinga kiboko sana.



KILA UFANYAPO JAMBO KATIKA MAISHA UFANIKIWI?

Hapo ujue nyota yako itakuwa imechezewa kwa kiwango kikubwa sana na ukiangalia hapo awali maisha iliyokuwa ikiishi na sasa kunautofauti mkubwa sana ,pengine hapo awali ulikuwa na nyota yenye nuru ulikuwa ukimlilia mtu shida anakupa pesa kwa roho mbili wakati hakuwa hivyo hapo awali hii yote inatokana na nyota kuwa hafifu napengine kwenye mambo ya mikopo huko katika
Pita pita zako ufanikiwi kwa haraka hii yote ni mikwamo ya kinyota kwa kawaida nyota inatakiwa kuwa 12 kiwango ambacho ni kikubwa na chakueleweka vizuri sana kwa kila jambo utakalo kuwa unalifanya ni lazima utakuwa na mafanikio na hata ukiwa na kazi ukipeleka sehemu ni lahisi kununuliwa yani mtu mwenye nyota12 ni mtu ambaye anakuwa na mafanikio makubwa sana katika maisha dawa ya kukuboreshea nyota yako na kuwa nzuri sana na hata ukifanya mambo yako yanakuwa mazuri sana na kuwa mtu mwenye kukubalika kwa haraka sana kulingana na mambo unayokuwa ukiyafanya katika mizunguuko yako utaona unafanikiwa kwa haraka sana.

DAWA YA MAPENZI ILI MPENZI AKUPENDE ZAIDI NA LOLOTE

UNALONGEA ANATEKELEZA:Mara nyingi sana wapenzi wanapokuwa katika mapenzi wanakuwa na tabia ya kuchukizana na kuchokana hapo hali kama hiyo inapojiteza mara nyingi sana mmojawapo ni lazima anakuwa na jinni ambalo limemkaa ndani ya mwili wake na linakuwa linamfukuzia watu wenye manufaa kwake na kuwa na ile hali ya chocgote anachomwambia ampendaye akubaliani naye kwa kila kitu ,basi inapotekea hali kama hiyo basin a sisi hapo hapo waganga tunakuwa na lolote la kusaidia kuhusiana na hilo,
Kwanza nitaimbolesha nyota yake ikubalike kila sehemu kulingana nay eye anavyotaka na nyota hiyo itakuwa daima ya kupendwa na yoyote atakamuhitaji na chochote atakachokuwa unakihitaji kwa huyo uumpendae atakikubali kwa haraka na kukubali yale unayohitaji wewe na dawa hizi utanuia kwa kila jambo unalohitaji wewe .ikiwa uumpendae akununulie nyumba,gari ,kiwanja,ukufanyie mambo makubwa zaidi ya hayo utafanikiwa tu na wala hakuna tatizo.

DAWA YA KUPOOZA MIGUU NA TIBA ZAKE

Dawa hii ipo katika mchanganyiko wa aina 6 hii ni miti iliyo sagwa sagwa katika tiba maalum kwa mgonjwa wakupoooza miguu dawa hizi zimeweza kuwasaidia wengi sana katika suala la kuweza kufanikisha kuutibu ugonjwa huu .dawa hizi utazitumia kwa muda wa siku 40 na dawa hiii ni ya maji maji ambazo 2 ni zakunywa na mbili ni zakupaka sehemu iliyo athirika kwa kupooza na ndani ya siku arobaini mgonjwa huyu atakuwa katika hali yake ya zamani na kuendelea na maisha

GARAMA YA TIBA HIZI ZA KUPOOZA MIGUU
Shs 170,000

DAWA ZA KUPENDEZESHA MWILI KUWA WENYE KUVUTIA:
1.Dawa ya kuongeza hipsi shs 250,000 2 dawa ya kutoa michirizi shs 15,000
3. dawa ya kutoa mabaka mabaka shs 19,000 4. kupunguza matiti shs 140,000
5.nyere zako ziwe ndufu sana shs35,000 6. miguu kuwa ya bia shs 30,000
7.kutoa chunusi na kuwa softi shs 40,000 8. unene yenye shepu shs 50,000
8. kutokuwa na ndevu shs shs 30,000 10.kupunguza tumbo shs 26,000
11.weupe wa mn’gao shs 25,000 12.weusi wa mng’ao shs 30,000
13.Kupunguza unene shs 45,000 14.kupunguza maziwa shs 35,000
14.kurefusha nywele na bora shs40,000 16.kurefusha uume 100,000
17.uume kuwa mnene 500,000 18.kuwa na nguvu za uume 70,000




MATIBABU YA MARALIA SUGU

Maralia sugu ni ugonjwa ambao unahathiri watu wengi sana kutokana na ugonjwa huu wa maralia unatokana na uzembe mdogo sana unaotokea na kutokunywa maji mengi katika kipindi cha hasubuhi na mchana na jioni katika vipindi vyote hivyo unapaswa kufuata utaratibu wa kunywa maji lita 1 moja katika mpagilio wa asubuhi lita1 mchana lita 1 jioni lita1 na katika masaa haya mengine tofauti na mlo unaweza kunywa maji maji hakuna shaka.

Na wakati utumiapo dawa upaswi kukutana kijinsia katika kipindi cha wiki 2 ili dawa iweze kufanya kazi ipasavyo ili kuepusha misuguano ya aina yake ili kuweka uwiano wa kukuza afya na dawa hizi tumiapo hautakuwa na Maralia kwa kipindi cha miaka 6 ndipo utapatwa na maralia kama kawaida ya mwanadamu mwingine aliye zaliwa na afya yenye kinga iliyojitoshereza .

Hizi dawa za maralia zinanguvu sana ili kukupa nguvu na kukujengea kinga iliyo madhubuti na kukuepusha na maambukizi mapya ya maralia,dawa hizi unapaswa kutumia kwa umakini sana pasipo kukosea mambo ambayo ni yakawaida na upaswi kuwa mvivu kunywa maji kwa wingi kama jinsi maelekezo yasemayo hapo juu

Dawa hizi ni za maji maji
GARAMA YA DAWA ZA MARALIA
SHS 60,000 kwa chupa 1 na unapaswa kutumia chupa 3.


MATIBABU YA PRESHA YA KUSHUKA NA YAKUPANDA

Matibabu haya ni gharama nafuu na yenye mafanikio makubwa sana kulingana na jinsi ya watu ilivyo waponyesha kwa haraka na kuondokana na presha ya kupanda na yakushuka nakuwa mahali Normal.
Dwa hii imechanganywa katika mchanganiko wa aina 7 na ni mitishamba wenye ubora katika kuponyesha hizi presha za aina 2 yakupanda na kushuka dawa hizi unatumia muda wa siku 60 na unazingatia mashariti haya

utakiwi kuvuta sigara katika kipindi utumiapo dawa
utakiwi kukutana kimwili na mpenzi/mme
uakiwi kufanya kazi ngumu unafanya kazi za kawaida tu
utakiwi kuoga maji yalio chemshwa
Dawa hizi ni bora sana zinakuwezesha kurudia katika khali inayotakiwa katika uzima wako wa maisha.

TIBA YA KISUKARI

Kwa kuwa kunakisukari cha aina 3
Kuna kisukari cha kurogwa
kisukari cha kurithi
cha ugonjwa

Hiki cha kurogwa mara nyingi sana huwa kupona kwake npaka utumie mambo ya kutoa yale yalio wekwa ndani ya mwili wa mwanadamu ili aweze kurejea katika hali yake ya kawaida na ni rahisi sana
Hivi vilivyobaki tiba yake ni yakawaida tu siyo kama ile ya kurogwa na katka mitishamba hii ya dawa za kisukali moja kwa moja ipo miti 12 inayoponyesha kisukari iliyochanganywa katika mchanganyiko wa kuponyesha tatizo la kisukali.

GARAMA YA TIBA ZA KISUKARI:

Garama yake 180,000
Dawa hizi unatumia kwa muda wa siku 70 na katika kipindi chote utumiapo dawa hizi unatumia mashariti haya
Usile vyakula vyenye mchanganyiko wa sukali
Usile maharage
usinye bia
usile chai yenye mchanganyiko wa sukari kwa kipindi chote utumiapo dawa nah ii yote ni kutokana na kuondoa sumu yote iliokuwa umekuingia na kuingiza kitu kipya kwa ajiri ya kuweka hali yake katika usawa unaotakiwa baada ya hapo sasa unaweza kutumia chakula chochote baada ya kumaliza dawa katika kipindi cha wiki 2 kuanzia hapo umalizapo kutumia dawa.
Dawa hii haina madhara kwa mtumiaji kwa kipindi chote na akienda kupima atakuta kisukari hakuna na hapo ndipo atakuwa amepona kabisa na hakitamrudia tena.