Sunday, October 11, 2009

DAWA ZA KINGA ZA MWILI HATA MTU AKIKUTUPIA UBAYA UNAMRUDIA MWENYEWE:

Kinga hizi mara nyingi sana husaidia watu mbali mbali ambao nyota zao huwa mara nyingi huwa za kuandamwa andamwa na watu mbali ambali watu wa karibu au hata ndugu wa karibu nah ii sana husababishwa na kuwa na maendeleo makubwa kimaisha kumzidi hata yule aliye kutangulia kuzaliwa kutokana na wewe kuwa na nuru yenye kuwaka na khali kama hii ikiwa unaona basi wewe unapaswa kujiimarisha kimwili kwa kuwekewa kinga zenye uumara wa kimaisha ili kuwa mtu mwenye kuuongopwa kwa kurushiwa ubaya na umbaya akiurusha unamrudia mwenyewe aliyeutuma na unapomrudia mwenye mara nyingi hurudi kwa kishindo kikubwa ambacho ni chakichawi kulinganisha na jinsi yeye alivyokituma alikutuma kwa nia mbaya ya kushusha nyota yako ili uweze kuarikiwa mambo yako nah ii inaporudi kwa huyo aliyekutuma kuna mawali yeye ndio kuarikiwa mambo yake na kuutegua huyo mtengo tena kwake itakuwa ni ngumu sana kulingana na kinga uliowekewa wewe niyamanuo yahatari yenye
uzito mkubwa ambayo yamechanganywa na roho ya simba na pesa ya RUPIA ambayo ni nyekundu pesa ya kijerumani yenye simba wawili wanagomania mtede hapo kwa kweli ni zindiko kubwa sana hata ukiwa kwenye mikutano mikubwa mikubwa kile kiti ukikariacho mtu awezi kukikaria na hata kama umesahau pesa ndani mtu awezi kuiba na hata gari uwe umerisahau sehemu hawezi kuriimba ,na hata ukiwa unatafutwa na adui mbaya amekuja kwa nia mbaya lile zindiko linauwezo wakukutyarifu uondoke hapo ulipo kwa haraka sana kutokana na kukuepusha hapo ulipo,na zindiko hili hata kama mkeo unakuwekea dawa katika chakula utakapo anza tu kukila kile chakula kinamwagika kabla chakula ujakiwqeka katika mdomo basi hapo kinakupa ishara kubwa sana ,na hihi kinga ukisha chanjwa au kuwekewa katika mji wako basi wewe waweza hata kulala mlango wazi yoyote yule awazae kukuibia katika mji wako kila akipaga kuja kuiba unaairisha au akija nyumba haioni kabisa kwa hivyo hii ni kinga kiboko sana.



No comments:

Post a Comment