Sunday, October 11, 2009

TATIZO LA KUTOSHIKA MIMBA

Tatizo la kutoshika mimba mara nyingi sana linasababishwa na mirija ya uzazi na hapo hapo tunakuta ya kuwa mwanamke anaweza kuwa anapata siku zake kama kawaida na kwa tarehe hiyo hiyo lakini siku uwezekano wa kushika mimba unajuwa hakuna au akishika mimba anaaribika baada ya miezi sita na hapo hapo zamani kulingana na khali hiyo zamani alipokuwa binti wa miaka 20 alizaa lakini baadae uzazi mekuwa mgumu sana latika hili angalia picha hii

VIUNGO VYA UZAZI VYA MWANAMKE KATIKA PICHA

Picha hii inaonesha mambo mengi sana ,katika mpangilio huu moja kwa moja

Mara nyingi sana mwanamke anapotokewa mirija ya uzazi kuziba,wa kushoto na wakulia yote miwili mara nyingi sana hujisikia vibaya na kutosikia hata hamu ya tendo la ndoa na mirija hiyo ya uzazi haitofoutiani sana na uvimbe kwa jinsi ilivyo maumivi yake huwa hayana tofauti sana.

No comments:

Post a Comment