Sunday, October 11, 2009

MATIBABU YA PRESHA YA KUSHUKA NA YAKUPANDA

Matibabu haya ni gharama nafuu na yenye mafanikio makubwa sana kulingana na jinsi ya watu ilivyo waponyesha kwa haraka na kuondokana na presha ya kupanda na yakushuka nakuwa mahali Normal.
Dwa hii imechanganywa katika mchanganiko wa aina 7 na ni mitishamba wenye ubora katika kuponyesha hizi presha za aina 2 yakupanda na kushuka dawa hizi unatumia muda wa siku 60 na unazingatia mashariti haya

utakiwi kuvuta sigara katika kipindi utumiapo dawa
utakiwi kukutana kimwili na mpenzi/mme
uakiwi kufanya kazi ngumu unafanya kazi za kawaida tu
utakiwi kuoga maji yalio chemshwa
Dawa hizi ni bora sana zinakuwezesha kurudia katika khali inayotakiwa katika uzima wako wa maisha.

2 comments: