Sunday, October 11, 2009

MIRIJA YA UZAZI ,JINSI NA DALILI ZAKE

Mirija ya uzazi jinsi inavyokuwa:
Mirija hii ni sehemu muhimu sana kwa motto wa kike kwanza kabisa mirija kama haitakuwa katika muelekeo mzuri uwezekano wa wewe kutopata motto ni mkubwa sana iwapo hautalifanyia ufumbuzi tatizo kama hili,mirija hii iwapo haipo sawa utapa matatizo yakutokuwa na hamu ya tendo la ndoa pia tumbo kuuma sana katika nyakati tofauti tofati na kutokwa na ute ute unaotoa harufu na mpangilio wa siku zako kutokuwa katika mpangilio unaotakiwa ,na vile vile hii hali inaweza hata kukusababishia kiuno kukuuma sana na kuachia kwa muda mrefu halafu kukurudia tena kwa wakati wa tendo la ndoa .

Ukigundua hayo matatizo unayo wahi tiba na watu wengi sana kukundua uwepo wa tatizo kama hili huwa ni mdogo sana kwa sababu wanawake wengi ufikapo kwa Daktari hueleza tumbo linamuuma kwa fikila zake akizani ni tumbo la typhod kwa kwa maana limshikapo tumbo sana kwa walio wengi wanawake huwa ngumu sana kukundua ,lakini iwapo akawa na wepesi wa kugundua tatizi hilo inakuwa na rahisi sana kupatiwa tiba za dawa za asili kwa garama ndogo sana kwa sababu inakuwa bado hiyo mirija hajaweka fangasi ,mirija ya uzazi unaweka fangasi kwa ndani kutokana na uchafu mwingi unaopita hapo katika hiyo mirija kwa kuwa katika maumbilie ya mototo wa kike maumbile yake yameumbwa kwa usafi kutokana na hali inayojitokeza mirija yake kuziba haiwezi kuwa katika sistimu inayotakiwa.

No comments:

Post a Comment