Sunday, October 11, 2009

KWANINI UUME KUWA NA MAUMBILE MADOGO:



Hormon iitwayo (testosterone)hormone hiyo huingia katika damu na kuenea mwili mzima ,ili kubadili kuwa uume mkubwa wa mwanaume.wakati wa kuendelea kukua mwanaume testosterone husababisha maumbile yake kuwa makubwa na madhubuti na maumbile ya mwanaume kukua haraka kila anapokuwa katika shuguli mbali mbali bila wasiwasi otomatikali huwa yenyewe hujikuza mpaka kufikia saizi iliyojijengea otomatikali kulingana na mpangilio iwapo itatokea matatizo ambayo yataweza kukusababishia kuwa katika kiwango kisicho kizuri basi kutakuwa na tatizo ambalo katika utalaamu wa vitu vya maubile kunauwezekano mkubwa sana wa kukurudishia hali kuwa katika kiwango kitakiwacho bila kujari umri wako otomatikali na uweze kufurahia maisha kama kijana mdogo .

2 comments: