Sunday, October 11, 2009

TIBA YA KISUKARI

Kwa kuwa kunakisukari cha aina 3
Kuna kisukari cha kurogwa
kisukari cha kurithi
cha ugonjwa

Hiki cha kurogwa mara nyingi sana huwa kupona kwake npaka utumie mambo ya kutoa yale yalio wekwa ndani ya mwili wa mwanadamu ili aweze kurejea katika hali yake ya kawaida na ni rahisi sana
Hivi vilivyobaki tiba yake ni yakawaida tu siyo kama ile ya kurogwa na katka mitishamba hii ya dawa za kisukali moja kwa moja ipo miti 12 inayoponyesha kisukari iliyochanganywa katika mchanganyiko wa kuponyesha tatizo la kisukali.

GARAMA YA TIBA ZA KISUKARI:

Garama yake 180,000
Dawa hizi unatumia kwa muda wa siku 70 na katika kipindi chote utumiapo dawa hizi unatumia mashariti haya
Usile vyakula vyenye mchanganyiko wa sukali
Usile maharage
usinye bia
usile chai yenye mchanganyiko wa sukari kwa kipindi chote utumiapo dawa nah ii yote ni kutokana na kuondoa sumu yote iliokuwa umekuingia na kuingiza kitu kipya kwa ajiri ya kuweka hali yake katika usawa unaotakiwa baada ya hapo sasa unaweza kutumia chakula chochote baada ya kumaliza dawa katika kipindi cha wiki 2 kuanzia hapo umalizapo kutumia dawa.
Dawa hii haina madhara kwa mtumiaji kwa kipindi chote na akienda kupima atakuta kisukari hakuna na hapo ndipo atakuwa amepona kabisa na hakitamrudia tena.

No comments:

Post a Comment