Sunday, October 11, 2009

DAWA ZA KINGA ZA MWILI HATA MTU AKIKUTUPIA UBAYA UNAMRUDIA MWENYEWE:

Kinga hizi mara nyingi sana husaidia watu mbali mbali ambao nyota zao huwa mara nyingi huwa za kuandamwa andamwa na watu mbali ambali watu wa karibu au hata ndugu wa karibu nah ii sana husababishwa na kuwa na maendeleo makubwa kimaisha kumzidi hata yule aliye kutangulia kuzaliwa kutokana na wewe kuwa na nuru yenye kuwaka na khali kama hii ikiwa unaona basi wewe unapaswa kujiimarisha kimwili kwa kuwekewa kinga zenye uumara wa kimaisha ili kuwa mtu mwenye kuuongopwa kwa kurushiwa ubaya na umbaya akiurusha unamrudia mwenyewe aliyeutuma na unapomrudia mwenye mara nyingi hurudi kwa kishindo kikubwa ambacho ni chakichawi kulinganisha na jinsi yeye alivyokituma alikutuma kwa nia mbaya ya kushusha nyota yako ili uweze kuarikiwa mambo yako nah ii inaporudi kwa huyo aliyekutuma kuna mawali yeye ndio kuarikiwa mambo yake na kuutegua huyo mtengo tena kwake itakuwa ni ngumu sana kulingana na kinga uliowekewa wewe niyamanuo yahatari yenye
uzito mkubwa ambayo yamechanganywa na roho ya simba na pesa ya RUPIA ambayo ni nyekundu pesa ya kijerumani yenye simba wawili wanagomania mtede hapo kwa kweli ni zindiko kubwa sana hata ukiwa kwenye mikutano mikubwa mikubwa kile kiti ukikariacho mtu awezi kukikaria na hata kama umesahau pesa ndani mtu awezi kuiba na hata gari uwe umerisahau sehemu hawezi kuriimba ,na hata ukiwa unatafutwa na adui mbaya amekuja kwa nia mbaya lile zindiko linauwezo wakukutyarifu uondoke hapo ulipo kwa haraka sana kutokana na kukuepusha hapo ulipo,na zindiko hili hata kama mkeo unakuwekea dawa katika chakula utakapo anza tu kukila kile chakula kinamwagika kabla chakula ujakiwqeka katika mdomo basi hapo kinakupa ishara kubwa sana ,na hihi kinga ukisha chanjwa au kuwekewa katika mji wako basi wewe waweza hata kulala mlango wazi yoyote yule awazae kukuibia katika mji wako kila akipaga kuja kuiba unaairisha au akija nyumba haioni kabisa kwa hivyo hii ni kinga kiboko sana.



KILA UFANYAPO JAMBO KATIKA MAISHA UFANIKIWI?

Hapo ujue nyota yako itakuwa imechezewa kwa kiwango kikubwa sana na ukiangalia hapo awali maisha iliyokuwa ikiishi na sasa kunautofauti mkubwa sana ,pengine hapo awali ulikuwa na nyota yenye nuru ulikuwa ukimlilia mtu shida anakupa pesa kwa roho mbili wakati hakuwa hivyo hapo awali hii yote inatokana na nyota kuwa hafifu napengine kwenye mambo ya mikopo huko katika
Pita pita zako ufanikiwi kwa haraka hii yote ni mikwamo ya kinyota kwa kawaida nyota inatakiwa kuwa 12 kiwango ambacho ni kikubwa na chakueleweka vizuri sana kwa kila jambo utakalo kuwa unalifanya ni lazima utakuwa na mafanikio na hata ukiwa na kazi ukipeleka sehemu ni lahisi kununuliwa yani mtu mwenye nyota12 ni mtu ambaye anakuwa na mafanikio makubwa sana katika maisha dawa ya kukuboreshea nyota yako na kuwa nzuri sana na hata ukifanya mambo yako yanakuwa mazuri sana na kuwa mtu mwenye kukubalika kwa haraka sana kulingana na mambo unayokuwa ukiyafanya katika mizunguuko yako utaona unafanikiwa kwa haraka sana.

DAWA YA MAPENZI ILI MPENZI AKUPENDE ZAIDI NA LOLOTE

UNALONGEA ANATEKELEZA:Mara nyingi sana wapenzi wanapokuwa katika mapenzi wanakuwa na tabia ya kuchukizana na kuchokana hapo hali kama hiyo inapojiteza mara nyingi sana mmojawapo ni lazima anakuwa na jinni ambalo limemkaa ndani ya mwili wake na linakuwa linamfukuzia watu wenye manufaa kwake na kuwa na ile hali ya chocgote anachomwambia ampendaye akubaliani naye kwa kila kitu ,basi inapotekea hali kama hiyo basin a sisi hapo hapo waganga tunakuwa na lolote la kusaidia kuhusiana na hilo,
Kwanza nitaimbolesha nyota yake ikubalike kila sehemu kulingana nay eye anavyotaka na nyota hiyo itakuwa daima ya kupendwa na yoyote atakamuhitaji na chochote atakachokuwa unakihitaji kwa huyo uumpendae atakikubali kwa haraka na kukubali yale unayohitaji wewe na dawa hizi utanuia kwa kila jambo unalohitaji wewe .ikiwa uumpendae akununulie nyumba,gari ,kiwanja,ukufanyie mambo makubwa zaidi ya hayo utafanikiwa tu na wala hakuna tatizo.

DAWA YA KUPOOZA MIGUU NA TIBA ZAKE

Dawa hii ipo katika mchanganyiko wa aina 6 hii ni miti iliyo sagwa sagwa katika tiba maalum kwa mgonjwa wakupoooza miguu dawa hizi zimeweza kuwasaidia wengi sana katika suala la kuweza kufanikisha kuutibu ugonjwa huu .dawa hizi utazitumia kwa muda wa siku 40 na dawa hiii ni ya maji maji ambazo 2 ni zakunywa na mbili ni zakupaka sehemu iliyo athirika kwa kupooza na ndani ya siku arobaini mgonjwa huyu atakuwa katika hali yake ya zamani na kuendelea na maisha

GARAMA YA TIBA HIZI ZA KUPOOZA MIGUU
Shs 170,000

DAWA ZA KUPENDEZESHA MWILI KUWA WENYE KUVUTIA:
1.Dawa ya kuongeza hipsi shs 250,000 2 dawa ya kutoa michirizi shs 15,000
3. dawa ya kutoa mabaka mabaka shs 19,000 4. kupunguza matiti shs 140,000
5.nyere zako ziwe ndufu sana shs35,000 6. miguu kuwa ya bia shs 30,000
7.kutoa chunusi na kuwa softi shs 40,000 8. unene yenye shepu shs 50,000
8. kutokuwa na ndevu shs shs 30,000 10.kupunguza tumbo shs 26,000
11.weupe wa mn’gao shs 25,000 12.weusi wa mng’ao shs 30,000
13.Kupunguza unene shs 45,000 14.kupunguza maziwa shs 35,000
14.kurefusha nywele na bora shs40,000 16.kurefusha uume 100,000
17.uume kuwa mnene 500,000 18.kuwa na nguvu za uume 70,000




MATIBABU YA MARALIA SUGU

Maralia sugu ni ugonjwa ambao unahathiri watu wengi sana kutokana na ugonjwa huu wa maralia unatokana na uzembe mdogo sana unaotokea na kutokunywa maji mengi katika kipindi cha hasubuhi na mchana na jioni katika vipindi vyote hivyo unapaswa kufuata utaratibu wa kunywa maji lita 1 moja katika mpagilio wa asubuhi lita1 mchana lita 1 jioni lita1 na katika masaa haya mengine tofauti na mlo unaweza kunywa maji maji hakuna shaka.

Na wakati utumiapo dawa upaswi kukutana kijinsia katika kipindi cha wiki 2 ili dawa iweze kufanya kazi ipasavyo ili kuepusha misuguano ya aina yake ili kuweka uwiano wa kukuza afya na dawa hizi tumiapo hautakuwa na Maralia kwa kipindi cha miaka 6 ndipo utapatwa na maralia kama kawaida ya mwanadamu mwingine aliye zaliwa na afya yenye kinga iliyojitoshereza .

Hizi dawa za maralia zinanguvu sana ili kukupa nguvu na kukujengea kinga iliyo madhubuti na kukuepusha na maambukizi mapya ya maralia,dawa hizi unapaswa kutumia kwa umakini sana pasipo kukosea mambo ambayo ni yakawaida na upaswi kuwa mvivu kunywa maji kwa wingi kama jinsi maelekezo yasemayo hapo juu

Dawa hizi ni za maji maji
GARAMA YA DAWA ZA MARALIA
SHS 60,000 kwa chupa 1 na unapaswa kutumia chupa 3.


MATIBABU YA PRESHA YA KUSHUKA NA YAKUPANDA

Matibabu haya ni gharama nafuu na yenye mafanikio makubwa sana kulingana na jinsi ya watu ilivyo waponyesha kwa haraka na kuondokana na presha ya kupanda na yakushuka nakuwa mahali Normal.
Dwa hii imechanganywa katika mchanganiko wa aina 7 na ni mitishamba wenye ubora katika kuponyesha hizi presha za aina 2 yakupanda na kushuka dawa hizi unatumia muda wa siku 60 na unazingatia mashariti haya

utakiwi kuvuta sigara katika kipindi utumiapo dawa
utakiwi kukutana kimwili na mpenzi/mme
uakiwi kufanya kazi ngumu unafanya kazi za kawaida tu
utakiwi kuoga maji yalio chemshwa
Dawa hizi ni bora sana zinakuwezesha kurudia katika khali inayotakiwa katika uzima wako wa maisha.

TIBA YA KISUKARI

Kwa kuwa kunakisukari cha aina 3
Kuna kisukari cha kurogwa
kisukari cha kurithi
cha ugonjwa

Hiki cha kurogwa mara nyingi sana huwa kupona kwake npaka utumie mambo ya kutoa yale yalio wekwa ndani ya mwili wa mwanadamu ili aweze kurejea katika hali yake ya kawaida na ni rahisi sana
Hivi vilivyobaki tiba yake ni yakawaida tu siyo kama ile ya kurogwa na katka mitishamba hii ya dawa za kisukali moja kwa moja ipo miti 12 inayoponyesha kisukari iliyochanganywa katika mchanganyiko wa kuponyesha tatizo la kisukali.

GARAMA YA TIBA ZA KISUKARI:

Garama yake 180,000
Dawa hizi unatumia kwa muda wa siku 70 na katika kipindi chote utumiapo dawa hizi unatumia mashariti haya
Usile vyakula vyenye mchanganyiko wa sukali
Usile maharage
usinye bia
usile chai yenye mchanganyiko wa sukari kwa kipindi chote utumiapo dawa nah ii yote ni kutokana na kuondoa sumu yote iliokuwa umekuingia na kuingiza kitu kipya kwa ajiri ya kuweka hali yake katika usawa unaotakiwa baada ya hapo sasa unaweza kutumia chakula chochote baada ya kumaliza dawa katika kipindi cha wiki 2 kuanzia hapo umalizapo kutumia dawa.
Dawa hii haina madhara kwa mtumiaji kwa kipindi chote na akienda kupima atakuta kisukari hakuna na hapo ndipo atakuwa amepona kabisa na hakitamrudia tena.

TIBA YA KANSA

Tiba hii hii ni yakuponyesha kabisa na dawa yake inagalimu kiasi cha shs 1500,000 dawa hii imechanganywa katika miti ya aina 40 ambayo moja kwa moja ni katika kukuponyesha ili ishiendelee na tatizo kama hili tena na dawa hii pindi tumiapo unapaswa kufuta mashariti ya kutokutana na mwanamke wa aina yoyote kimwili au mwanaume na dawa hii utaitumia kwa muda wa siku 360 na wakati unatumia dawa hii utaona mabadiliko furani furani katika kipindi cha siku19 katika kipindi hicho uonapo mabadiliko furani furani usiache kutumia dawa mpaka yote uimarze katika kipindi cha siku360 yale matatizo yote yalio kuwa yanakupata hapo awali hautaona tatizo lolote tena.


TIBA YA UKIMWI

Ukimwi na janga kubwa sana katika nchi yetu kwa kuwa kila mmoja wetu anatakiwa kuwa makini sana kulingana na tatizo hili lilo tawala duniani kote ,

DAWA ZAKE NI JINSI ZINAVYOSAIDIA

Dawa hizi zipo katika mchanganyiko wa aina 56 hii miti imechanganywa katika kiwango kimoja cha kukupambana na maambukizi mapya ya UKIMWI na katika hili ili kuweza kupunguza maambukizi ya kumwi ,
DAWA HII:Sendo dawa hii iliyochanganywa katika vichanganyika vya aina 56 imekuwa na uwezo mkubwa sana kwa mtumiji kumrudishia hali aliyokuwa nayo awali na kurejea katika hali yake ya zamani ili kupunguza kasi ya maambukizi ya ukimwi na katika hili kumekuwa na mapungufu makubwa sana kwa watu walio kwisha itumia dawa hii ambopo hata kama ulikuwa mahututi kitandani uanzapo tu kutumia dawa hii unaanza kuona mabailiko furani furani ya kuweza kuinuka peke yako na kuweza kula kama jinsi itakiwavyo na kuweza kurudisha kumbukumbu zako.

Dawa hii inauwezo mkubwa sana katika suala zima la wewe kurejea katika hali yako ya awali na kuendelea na shuguli zako ulizokuwa ukiendelea nazo.

Kwa mtu mwenye nguvu zake na CD4 zake zilizo hafifu kwa dawa hizi zitakuongezea CD4 zako na kuendelea na shuguli zako kama awali kwa kuwa toka hapo ulikuwa ukiendelea na kazi zako basi hutakuwa zaidi ya hapo na Maralia utapata kama kawaida ya mwanadamu ,dawa hizi zitazidi kukupa uwezo mkubwa wa wewe kuwa katika afya yako .

Kwa yule ambaye sasa tayari ameshatoka madonda ya mdomoni na vipele mwilini ,dawa hii itakuondolea usumbufu wote uupatao na vipele vyote kuisha kwa kiwango kikubwa sana na hutaona makovu ya aina yoyote katika mwili wako.

DAWA HIZI MATUMIZI YAKE

Dawa hizi unatumia chupa 6 za maji zenye mjazo wa lita 1 katika kila chupa unakunywa kijiko kimoja cha chai kwa asubuhi na mchana na jioni na dawa hizi utazitumia kwa muda wa mwezi mmoja katika kipindi cha mwezi mmoja upaswi kushiliki ngono zembe ili kuepusha maambikizi.

GARAMA YA DAWA
SHS 200,000 dawa hizi ukisha tumia uatarudia kutumia tena baada ya miaka 2ndipo itabidi urudie tena dawa hii katika suala la kurudia ni kutaka kukuboreshea mazingira ya ufanyaji kazi wa mwili wako izidi kujengeka zaidi na zaidi.

UVIMBE WA TUMBONI

Uvimbe ni kitu kidogo sana katika tumbo tunaweza kuusawanisha na mchanga lakini huu uvimbe ni mkubwa sana ungiapo kwa motto wa kike na unaweza hata kumuuwa asipokuwa makinini sawa uonavyo na mchanga ukuingipo katika jicho ni kiasi gain unavyowasha tena waweza kufikili umewekewa tofali ndani ya jicho lakini kakitolewa ni kamchanga kadogo sana,sasa hiyo hali ndio imtokeavyo motto wa kike nah ii hali ni mbaya sana kwani huu uvimbe waweza kumsababishia hata kutopata motto kwa sababu huu uvimbe hukaa sana chini ya kizazi mara nyingi sana hupendelea kukaa sehemu kama hizo ukiukosa sehemu ya uzazi hukaa katka mirija ya uzazi sehemu hizi mara nyingi sana hupendelea kwa hivyo sehemu kama hizo kati hizo uvimbe ukaa mara nyingi sana husumbuka sana motto wa kike bora uvimbe huo ukae tofati na hapo lakini iwapo ukakaa eneo zingine maumivu yake huwa ni madogo sana na unaweza usigigungue kama unauvumbe .

DALILI ZAKE ZA UVIMBE WA UZAZI KWA MWANAMKE

Mara nyingi sana motto wa kike anapokuwa na uvimbe huwa sistimu nzima ya siku za henzi hubadilika gafla pasipo kusikia maumivu ya aina yoyote baada ya siku kazaa huanza kusikia maumivu furani furani furani ambayo hupelekea katika mguu wa kushoto au wa kulia gafla uvuta kwa muda robo saa au dakika tano na vile vile kusikia hata kichefu chefu kama mtu mjamzito na mara pengine hata kuna siku unaweza kupoteza hata hamu ya chakula na kutokwa na chunusi pasipo hata sababu ya msingi na hata kutokewa na kajipu sehemu yoyote ila mara nyingi sana huwa chini ya tako au chini ya kwapa la mkono.

Pindi huonapo dalili kama hizo tafadhali wahi katika uchunguzi kwa maana dalili kama hizo hubadilisha hata homon na uvimbe huu jinsi uendeleavyo kwa baadae hata ukiubonyeza waweza kuugusa gusa hapo ndipo mahali pabaya kwa asilimia kubwa kwa maana tiba hizi mara nyingi sana huwa ndani ya mitishamba ambayo imechanganywa katika vichanganyio vya aina mbali mbali hili kuepusha operation kutona na tiba zetu tinauwezekano wa kupona kabisa na tatizo kama hili kutomtokea tena na kumpagia siku zake za hezi awe anaigia kila mwezi paspo kupitiliza hata kidogo .

Mara nyingi sana matatizo kama haya huwa ni yakutupiwa na wachawi ambao nia yao huwa sio nzuri ili kukufarakanisha na mmeo na kwa sababu hiyo unakuta awali ilipo kuwa binti ulishashika mimba na ukazaa motto na mpaka hivi lee ni mkubwa tu wa miaka 20 na ulizaa na huyo uumpendae katika hali ya ujana lakini hakuwa chaguo lako hapo baadae katika kujiendeleza kimasomo ,ukasomo mpaka ukamaliza sasa umepata uumpendae na unatarajia kufunga naye ndoa ,na Mungu akawajalia mkafunga naye ndoa na hiyo ndoa yenu imedumu katika kipindi cha miaka 7 lakini ujawahi kushika mimba wala kutumia uzazi wa mpango yani vidonge vya majira lakini swala la mimba halipo kabisa na bwana mzee anahitaji mototo na umefikia atua mpaka ndungu wa mme wewe motto wa kike wanakusema vibaya na ndoa inakosa amani kutana na wewe kutoshika ujauzito na Mungu amekujalia kisomo na kazi nzuri unayo na magari ya kutembelea mnayo na nyumba nzuri mnayo lakini ndoa haina amani ,lakini ukikaa na kufikilia wakati wa usichana wako mbona ulishika ujauzito na ukajifungua na motto yupo mpaka lee hii na afya njema kabisa sasa hapo moja kwa moja kuna nguvu za giza ambazo tunaziita za kishilikina ambapo pasipo kuwa makini unaweza kufika hatua mbaya sana .

Katika hili moja kwa moja kinachotakiwa ni kutumia dawa na kulifutilia mbali suala hili ambalo ni lakimiujiza ambolo moja kwa moja unapaswa kiliamini ingawo watu wengi sana huwa hawatilii manani mambo kama haya amini hilo mambo haya ndio mengi sana waweza kumpeleka hospitali na akafanyiwa operationi na akauguza mshono na akapumzika kwa muda mrefu kama yalivyo maadali ya hospitali na baada ya mapumziko mkaaza kukutana kimwili kama jinsi dakitali alivyo toa maelekezo na mkafanya hivyo yapata miaka 7 lakini hamna mafanikio iwapo wenye tatizo kama lako mlifanyiwa nao operation lakini wao wamefanikiwa na wanamtoto anaita SHUJAA l,mlivyo kutana mliweza kuongea mengi sana na kuweza kuelezeana jinsi mwenzio alivyokuwa anajisikia katika tatizo lake lakini katika maelezo yake kunautofauti mkubwa katika maelezo ya Mama Shujaa.

DAWA ZAKE ZA KUMALIZA TATIZO LA KIMUUJIZA
SHS 40,000 Na dawa hii unataitumia kwa muda wa siku 40 ni maji ambayo haina madhara kwa mtumiaji wa dawa kwa hivyo unatumia abuhi na jioni na haina mashariti na ndani ya siku hizo utaona mabadiliko makubwa mno katika kipindi cha siku 18..Ujauzito utaupata baada ya siku 60 baada ya kumaliza dose.

MIRIJA YA UZAZI ,JINSI NA DALILI ZAKE

Mirija ya uzazi jinsi inavyokuwa:
Mirija hii ni sehemu muhimu sana kwa motto wa kike kwanza kabisa mirija kama haitakuwa katika muelekeo mzuri uwezekano wa wewe kutopata motto ni mkubwa sana iwapo hautalifanyia ufumbuzi tatizo kama hili,mirija hii iwapo haipo sawa utapa matatizo yakutokuwa na hamu ya tendo la ndoa pia tumbo kuuma sana katika nyakati tofauti tofati na kutokwa na ute ute unaotoa harufu na mpangilio wa siku zako kutokuwa katika mpangilio unaotakiwa ,na vile vile hii hali inaweza hata kukusababishia kiuno kukuuma sana na kuachia kwa muda mrefu halafu kukurudia tena kwa wakati wa tendo la ndoa .

Ukigundua hayo matatizo unayo wahi tiba na watu wengi sana kukundua uwepo wa tatizo kama hili huwa ni mdogo sana kwa sababu wanawake wengi ufikapo kwa Daktari hueleza tumbo linamuuma kwa fikila zake akizani ni tumbo la typhod kwa kwa maana limshikapo tumbo sana kwa walio wengi wanawake huwa ngumu sana kukundua ,lakini iwapo akawa na wepesi wa kugundua tatizi hilo inakuwa na rahisi sana kupatiwa tiba za dawa za asili kwa garama ndogo sana kwa sababu inakuwa bado hiyo mirija hajaweka fangasi ,mirija ya uzazi unaweka fangasi kwa ndani kutokana na uchafu mwingi unaopita hapo katika hiyo mirija kwa kuwa katika maumbilie ya mototo wa kike maumbile yake yameumbwa kwa usafi kutokana na hali inayojitokeza mirija yake kuziba haiwezi kuwa katika sistimu inayotakiwa.

TATIZO LA KUTOSHIKA MIMBA

Tatizo la kutoshika mimba mara nyingi sana linasababishwa na mirija ya uzazi na hapo hapo tunakuta ya kuwa mwanamke anaweza kuwa anapata siku zake kama kawaida na kwa tarehe hiyo hiyo lakini siku uwezekano wa kushika mimba unajuwa hakuna au akishika mimba anaaribika baada ya miezi sita na hapo hapo zamani kulingana na khali hiyo zamani alipokuwa binti wa miaka 20 alizaa lakini baadae uzazi mekuwa mgumu sana latika hili angalia picha hii

VIUNGO VYA UZAZI VYA MWANAMKE KATIKA PICHA

Picha hii inaonesha mambo mengi sana ,katika mpangilio huu moja kwa moja

Mara nyingi sana mwanamke anapotokewa mirija ya uzazi kuziba,wa kushoto na wakulia yote miwili mara nyingi sana hujisikia vibaya na kutosikia hata hamu ya tendo la ndoa na mirija hiyo ya uzazi haitofoutiani sana na uvimbe kwa jinsi ilivyo maumivi yake huwa hayana tofauti sana.

VIUNGO VYA UZAZI VYA MWANAMKE

Tatizo kubwa linalo wakabili wanawake wengi ili kutokuwa na mpangilio mzuri wa siku zake za henzi na kutoona katika mpangilio unaotakiwa mara nyingi sana PAVILLION yake inakuwa sio katika kiwango kizuri na kinakuwa kimelegea katika upande wa viongo vinavyoshikilia kiwanda cha mayai (ovary)vipo katikati ya cycle ya kubadilisha siku ,sasa iwapo kinakuwa kimelegea na hakija shika vizuri uwezi kupata siku zako katika mrorongo mzuri na lazima utakuwa unapitiliza pitiliza na unaweza usione karibia hata miezi 3 na ,katika hilo unakuwa na matatizo ya tumbo kwa kipindi kisichoeleweka eleweka kama jinsi ilivyo mpagilio wakutoona siku zako na hata tumbo lako linakuwa linauma sana .

Mtu kama huyu mara nyingi sana hata wakati wa tendo la ndoa anakuwa hajisikii kabisa kutokana na hali azipatazo za kubadilika badilika siku zake, na tatizo kama hili lazima kwanza uwekewe mpangilio wa siku zako na kukuwekea cycle ikae vizuri. Baada ya kutumia dawa tatizo hili linakwisha kabisa kwa kipindi cha mwezi 1 baada ya hapo sasa anaweza kukutana na mpezi wake au mme,katika kipindi cha mwezi 1 anashauliwa kutokutana na mpezi wake mpaka amalize dose yake .

MWANAMKE ASIYEZAA KWA MUDA MREFU:

Kwanza kabisa tukumbuke kwamba mambo yote yahusuyo miili ya na yakike yamewekwa na Mungu,nayo ni kipaji toka kwake.
Watu wengi hufikili kuwa mambo yahusuyo miili ya kike na yakiume na hasa via vya uzazi ni kitukichafu ambocho kisinge faa kuzungumziwa.
Kwa kweli si Mungu aliyezifanya kuwa chafu ,bali ni sisi wenyewe kwa mazungumzo na mawazo yetu yanayozifanya view vichafu na kudhauliwa.

Mwanake ambovyo anapaswa kuwa katika via vya uzazi wake

Yaonekanayo nje ya mwili ni machache tu.mlango wa uke(kuma)vagina.mengine yote yamo ndani ya mwili nayo ni hayo:

Juu kabisa na katikati ya midomo ,hiukaa kinembe ,kiungo kifupi chenye damu nyingi,hiki kazi yake kubwa kureta furaha wakati wa tendo la ndoa

UREKEBISHAJI WAKE WA NGUVU ZA KIUME NA DAWA ZAKE

NJIGWA:Ni dawa inayozalisha homoni za gestrogen na kufanya uume kukua na kuongezeka.
NARO:ni dawa bora ya kurudisha nguvu za kiume,hutia hamu ya kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara 3 pasipo hamu kuisha na kuponya kabisa tatizo hilo pia inakufanya uchelewe kufika kileleni kwa zaidi ya dakika 40 kwa tendo la kwanza na uume kuwa na pawa ya ajabu,Dawa hizi hazina madhara kwa mtumiaji na dawa hizi pindi utumiapo ,
Zinaanza kufanya kazi baada ya dakika 90

JEE MATATIZO HAYA YA NGUVU ZA KIUME YANAREKEBISHIKA:

Matatizo kama haya ya kiwanda cha shahawa kuwa na mapungufu mbalimbali kutokana na sababu mbalimbali na kusababisha hata wakati wa tendo la ndoa kuwahi kukojoa kabla ya mwanamke tatizo kama hili namna ya kuweza kulikomesha kwa haraka kwa dawa ambazo zimechanganywa katika kiwango kinachotakiwa ndani ya miti shamba yenye uwezo wa kuchochea homon za gestogen ambapo mwanaume anapobarehe vichocheo hivi homon huchochea ukuaji wa uume.Chango ambalo hushambulia sana nerver ambapo huaribu kabisa ukuaji uume.Punyeto,kisukari.gono.ngiri,sababu hizi na nyinginezo ,hufanya uume kuwa mfupi na kuwahi kukojoa na tendo la hamu la tendo la ndoa kupungua sana katika kiwango kikubwa sana

UTUNGO WA MIMBA KWA MWANAUME

Mume na mke wanaposogeleana mbegu za uzazi kutoka kwa mume kama 250,000,000 hadi500,000,000 huachwa mlangoni pa tumbo la uzazi katika uke,mbegu zinaishi kwa muda upatao saa kama 48 na hata mtu akiwa na maumbile madogo naye pia kunauwezekano mkubwa wa kuweza kutoa mbegu iwapo itakuwa shahawa zake hazijasuguana sana katika kiwango cha kutojichezea ndipo shahawa zake zitakuwa katika mpagilio au kutokuwa na matatizo yoyote yale ambayo yanasababisha kupunguza kasi ya vimiminika vilivyowekwa katika kiwango kizuri maumbilie yake na kusababisha ile mishipa ambayo inaunganisha kiwanda cha shahawa kuwa madhubuti.

Baada ya kuachwa hapo mbegu hujiongeza kwa msaada wa mikia yao ,kusafiri kupitia tumbo la uzazi kisha kuingia katika mifereji ilekeayo katika kiwanda cha uzazi wa mwanamke

KWANINI UUME KUWA NA MAUMBILE MADOGO:



Hormon iitwayo (testosterone)hormone hiyo huingia katika damu na kuenea mwili mzima ,ili kubadili kuwa uume mkubwa wa mwanaume.wakati wa kuendelea kukua mwanaume testosterone husababisha maumbile yake kuwa makubwa na madhubuti na maumbile ya mwanaume kukua haraka kila anapokuwa katika shuguli mbali mbali bila wasiwasi otomatikali huwa yenyewe hujikuza mpaka kufikia saizi iliyojijengea otomatikali kulingana na mpangilio iwapo itatokea matatizo ambayo yataweza kukusababishia kuwa katika kiwango kisicho kizuri basi kutakuwa na tatizo ambalo katika utalaamu wa vitu vya maubile kunauwezekano mkubwa sana wa kukurudishia hali kuwa katika kiwango kitakiwacho bila kujari umri wako otomatikali na uweze kufurahia maisha kama kijana mdogo .

TATIZO HILI LINATOKANA NA UPUNGUFU WA;

Linatokana mara nyingi sana na kujichezea chezea na kutoa shahawa pasipo tendo la ndoa ambalo lilitengenezwa kwa makusudi maalumu lakini unapokuwa unajichezea chezea pasipo tendo liloidhinishwa na Mungu kwa matarisho ya makutano ya tendo la ndoa kutokana na hilo kunamishipa ya uume katika kiwanda cha shahawa iliyo midongodogo ambayo hupata msuguano iliyo chini ya uwezo wake kulingana msukumo uutumiao katika viganja vyako vya mikono yako mishipa hiyo huanzia katika uti wa mgongo na mpaka kwenye mapumbu (makende) ambayo yanakuwa na msukomo wake wa kukuwezesha wewe kuwa na sapoti furani ya kukupa pawa ya kushiliki ipasavyo katika tendo la ndoa ,Mapumbu yanakazi kubwa sana katika kukuwezesha katika kushirikiana na mwanamke katika tendo la ndoa,iwapo utakuwa na mapungufu ya mapumbu yako kutokuwa na gorori ambazo ukaa ndani ya ngozi kwa kweli kutakuwa na uwezekano mdogo sana wa wewe kuweza kushiliki ipasavyo katika tendo la ndoa na mwanamke.

Kutokana na kuwa na mapungufu kama hayo.kwa kawaida mototo wa kiume akilala usiku pumbu zake husinyaa na kuwa raini raini ,baada ya hapo mnamo saa 12 asubuhi pumbu hizi huwa ngumu ngumu na uume wa mwanaume kwa wakati wa saa 12 asubuhi na uume wa mwanaume husimama na kuwa wenye matamanio ya hali ya ajabu katika hayo ndio waweza kujipima ukiona katika hayo huoni dalili zozote nilizo zitaja basi hujue moja kwa moja tatizo la upungufu wa nguvu za kiume utakuwa unalo kutokana na kutokuwa na matamanio ya mara kwa mara kulingana na zamani ulivyo kuwa na katika hali kama hiyo utazidi kuwa na mapungufu siku hadi siku lakini katika mapungufu utakayokuwa nayo kutokuwa na pawa ya kuweza kurudia tendo la ndoa kwa kipindi kile kile kulingana na grupu ya damu yako wapo wengine japokuwa atakuwa na tatizo hilo la upungufu wa nguvu kulingana na grupu lake inawezekana likampelekea katika kuwahi kukonjoa ,na kunamwingine litampelekea katika kujisikia maumivu wakati wa tendo ,na kunamwingine litampelekea kutokuwa na matamanio wakati wakutaka kuanza kukutana kimwili na mke au mpenzi, uume unasinyaa lakini hapo awali walipokuwa wakichezeana mwanaume aliwaka sana tamaa za mwili na uume ulisimama vizuri sana sasa waanze sasa kukutana kimwili katika tendo la ndoa hapo hapo uume unakuwa hauna nguvu na unanywea kabisa haya yote yanatokana na mapungufu ya kimwili kama majini yanatawala mwili wako pasipo kugundua wewe na mara pengine wewe unafikilia ya kuwa pengine kazi au shuguli uzifanyazo ndio zinazosababisha wewe kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa ambapo sio kweli na ukikaa na mawazo kama hayo ndio unazidi kuumia zaidi na mwili wako kutokuwa na mawazo ya mahusiano na mwanamke yoyote lakini kuna kipindi linakuja wazo lakuwa na mwanake lakini ukimuona tu na hamu inakuisha unabaki ukiwaza yakuwa jee uume wangu utasimama kweli ,mawazo kama hayo tayali yakikutawala katika msukumo wa jini na kweli huwezi tena tendo la ndoa.

Mara pengine tena tatizo hili hutokana na vyakula tunavyotumia visivyo na wanga wa kutosha na kutopangilio mlo katika kiwango kinachotakiwa kwa mfano ulipaswa ule chakula au chai saa 4 na chai hiyo usiinywe muda huo na chakula cha mchana ulipaswa ule saa 7 mchana ukaja kula chipsi mayai katika muda wa saa 10 na soda tu,huo mlo unakuwa bado hauendani na kuupa mwili wako nguvu za kutosha kwani kile kiwanda cha shahawa kinakuwa na mapungufu mengi na makubwa sana, kwa hivyo zile shahawa zinakuwa hazijizunguushi katika kiwango kinachotakiwa japo hautajua tatizo kwa kipindi cha hivi karibuni yaweza kukuchukua katika kipindi hata cha miaka 7 au zaidi inaenda inajijenga taratibu katika kuharibu sistimu ya shahawa kwa mfano unaweza ukawa upo secondary mpaka ukaingia chuo na ukamaliza sarama kabisa pasipo kuwa na tatizo hilo la nguvu za kiume likaja likaanza ukiwa kazini nabado hata ujaowa.

Iwapo utarishughulikia ipasavyo kwa umakini ulio mzuri na ukafuatilia kwa ukaribu tatizo hili pindi tu uanzapo kuona dalili kama hizo tatizo kama hilo utalikomesha kwa haraka zaidi pasipo kukusumbua sana na utakuwa umeepusha garama ambazo zingekukuta hapo baadae kumbe unashauliwa kuwa makini sana ,iwapo utakuwa sio mwepesi kuligundua linaweza kukupa shida sana mpaka uje ukutane na mtaalamu wa kukusaidia tatizo lako na kwa ufumbuzi wa kina sana.

PICHA YA VIUNGO VYA UZAZI VYA MWANAUME

Ndani ya mwili tunakuta:
Mifuko miwili kila upande chini ya kibofu (seminal ressels)tezi iitwayo kiwanda cha sahawa(prostate) kiwanda hiki cha shahawa iwapo kutakuwa na mapungufu furani katika mwili wako kwanza utaanza kuona dalili zifuatazo kwanza kabisa utaanza kuona uume wako wakati unafanya tendo la ndoa, wakati unamundaa mwanamke uume wako unakuwa haupo katika hali ipasayo na hata mwamke akijaribu kukusaidia kukukaribishia mawazo ya kuwa tayari katika tendo la ndoa inakuwa ni kwambali sana lakini hapo baadae ikishituka inakuwa na kasi nzuri japo sio sana hii moja kwa moja ni tatizo ambalo linakuwa na upungufu wa shahawa(prostate)na katika upungufu kama huu inatokana sana na matatizo ya kisukari,au kufanya mchezo uitwao Punyeto na katika tatizo kama hili mara nyingi sana humsababishia matatizo ambayo hata kutokuwa na nguvu zilizo jitoshereza katika kiwango kilichokuwepo awali na suala kama hili ni kuwa makini sana kulifutilia pindi unapoona mabadiliko ambayo ukuwa nayo zamani ,ukiwa upo makini kwa kufuatilia suala kama hili litapotea na kurudia khali ya zamani kama awali.

PICHA YA SEHEM ZA SIRI YA MWANAUME

Hizi ndo sehemu ambazo zinamuwezesha mwanaume kuwa na matamanio yalio kamilika kama mtoto wa kiume aliye kamilika katika maumbile yake .Na inatokea mwanaume kuwa na nguvu chache katika maumbile ya nguvu za kiume kutokana na matatizo mbalimbali ambayo yatampelekea kuwa na nguvu afifu sana kutokana na sababu zisizo zuirika kutokana na upungufu wa (scrotum)pumbu ambavyo angalia mapungufu yake katika picha ifuatayo:



VIA VYA UZAZI VYA MWANAUME :



Via vya uzazi vya mwanaume karibu vyote vimekuwa (nje ya mwili wake) hapo zaidi yaonekanayo ni :
Uume au mboo(pennies)mwili wa uume ni kama sifango.Mara mwanaume akipatwa na tamaa :angalia sehemu ya maumbile ya mwanaume hubadilika katika kiwango kikubwa na maumbile yake huwa yanajaa katika kiwango cha kawaida na kama atakuwa amevaa suruali na amechomekea utaona pamevimba sehemu husika,na hii khali humtokea mara nyingi sana mtu mwenye nguvu zilizo kamilika katika kiwango kilichokamilika kwa huyu mwenye nguvu zilizo kamilika mara nyingi sana kama amepangana na mwanamke katika siti za gari wakigusana tu anaingia matamanio yatamaa na kuvimbisha sehemu ya maumbile na kama safari ndefu sana wakiwa pamoja kuna uwezekano wa mwanaume huyu aliye na nguvu zake za kiume anaweza hata kujipizia .

Akijipizia akiwa katika khali ya matamanio dosali kubwa kwa maana kunauwezekano mkubwa wa maumbile yake kutokuwa na stamiri za kushinda tamaa kwa hivyo ndani ya uume vikishilikiana na mapumbu huwa kunakuwa na maumivu makali sana ambavyo nikutokana na kasi ya matamanio vilivyo ingiliana na uume au mapumbu ,katika hali kama hiyo kunakuwa na misuguano ya mishipa kutoka katika kiwanda cha shahawa kwa hali kama hiyo mtu anashauliwa kutumia ndimu ili kupunguza kasi ya msuguano wa mishipa na kuzikausha zile shahawa kwa sababu zinakuwa zimetoka katika kiwango kisicho cha kukutana na mwanamke,hizi hali kama hizi hutokea usiku.


Mara nyingi hali kama hii inapotokea ukiwa katika safari zako ukielekea mahala pengine katika siti ukapangana na binti au Mama ndani ya dikaka 10 mkigusana gusana katika hali ya mtikisiko wa gari kuingia katika bonde au kurukushani za njiani katika hali hiyo ukaona unaaza kubadilika na kuingia matamanio ya kimwili na sehemu za maumbile kuona zinakuwa katka hali ya kusimamisha ,hapo moja kwa moja ni nzuri sana iwapo haujajipizia mpaka mwisho wa safari yako hapo nikitu cha kawaida,

Lakini iwapo ukaona umejipizia katika mwelekeo huo huo basi ujue hilo ni tatizo la kimajini ambalo linakutawala katika maumbile yako hata unapokuwa katika hali ya kuwa na mwanamke uume hawezi kusimama ,na mara pengine uumpendae anaweza kujitahidi sana kukuchezea hadi usimamishe maumbile yako lakini kwa muda sana kama dakika 5 utakuwa umesimamisha ukitaka tu muanze kazi inanywea tena hii hali moja kwa moja ni jini linakuwa limetawala mwili wako pasipo wewe kutambua kwa hivyo pasipo wewe kuwa makini suala hili laweza kukusumbua sana mpaka ukutane na mtaalamu wakuweza kuchekecha haya yote kwa wakati tofauti.


TUNAWALETEA MATIBABU YA ASILI NA YA KISAYANSI

Karibuni ndugu zangu katika mtandao wetu ambao kwa sasa tunaweza kuwapatia huduma zetu kwa njia ya mtandao popote ulipo ulimwenguni na hivyo kurahisisha huduma hii .

Kwa kuanzia tutakuwa tunatoa maelezo ya matatizo mbalimbali yanayowapata kina mama pamoja na kina baba ili kuweza kufanikisha uzazi salama na vilevile kuweza kutatua matatizo mbali mbali yanayotokana na uzazi

Vilevile tutakuwatolea maelezo ya huduma zetu mbali mbali zinazopatikana katika vituo vyetu vya hapa Dar es salaam pamoja na mikoani ambazo ni :-

- MATATIZO YA UZAZI
- NGUVU ZA KIUME
- KUSAFISHA NYOTA
- KUMUITA MPENZI ALIYE MBALI
- DAWA KWAAJILI YA BIASHARA
- KISUKARI
- UKIMWI NA MAGONJWA NYEMELEZI
na Magonjwa mengine